Deuteronomy 33:21

21 aAlijichagulia nchi nzuri kuliko zote
kwa ajili yake mwenyewe;
fungu la kiongozi lilikuwa limehifadhiwa
kwa ajili yake.
Viongozi wa watu walipokusanyika,
alitimiza haki ya mapenzi ya Bwana,
na hukumu zake kuhusu Israeli.”
Copyright information for SwhNEN